Ni kampuni ya matangazo ya nje iliyobobea katika kubuni,kuchora na kuweka matangazo ya kisasa kupitia teknolojia ya kisasa inayofikisha ujumbe kwa haraka kwa mvuto na kwa ufanisi mkubwa (LED BILLBOARD)
Ndani ya Mkoa wa Kagera tunapatikana nje ya ofisi za TRA-BUKOBA karibu na stendi ndogo ambapo kuna muingiliano mkubwa wa wafanyabiashara wakubwa na wadogo,watumishi,abiria pamoja na wananchi wanaotembea kwa mguu